top of page

TETEMEKO LA ARDHI TAIWAN LAUA WATU WANNE

Tetemeko la ardhi kali zaidi nchini Taiwan katika kipindi cha miaka 25 limetikisa kisiwa hicho



nyakati za asubuhi na kuharibu majengo, barabara kuu na kusababisha vifo vya watu wanne.

Shirika la zima moto la Taiwan limesema watu wanne walifariki katika Kaunti ya Hualien na takribani 57 walijeruhiwa katika tetemeko hilo lililotokea mapema Jumatano ya leo.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page