top of page
Radio on air

THANK YOU YAMFIKIA LUIS MIQUISSONE SIMBA

Klabu ya Simba SC imetangaza kuachana na mchezaji wake Luis Miquissone raia wa Msumbiji



hivyo kwa sasa mchezaji huyo yupo huru, kupitia ukurasa wa Instagram wa Simba SC umethitisha hilo taarifa ikisema

Tumefikia maamuzi ya kutomuongezea Mkataba Kiungo wetu, Luis Miquissone."



Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page