top of page
Radio on air

TRY AGAIN ATETA NA MAYELE...



Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah Muhene 'Try Again' akizungumza na nyota wa Pyramids FC, Fiston Mayele ambaye alitembelea hoteli ilipofikia Simba SC, jijini Cairo Misri. Ikumbukwe kuwa Simba ipo Misri kucheza mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly hapo kesho saa 5:00 usiku ambap mchezo wa awali ulichezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Simba alipokea moja bila kwa Al Ahly.


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page