top of page

TUJIPANGE KWA MECHI TATU ZA MWISHO TUMALIZE LIGI VIZURI - AHMED ALLY


Kutoka kwenye ukurasa wa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kumalizika kwa sare ya Kagera Sugar 1 - 1 Simba SC katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambapo amesema

"Al hamdullilah...Tujipange kwa mechi tatu za mwisho tumalize ligi vizuri."

댓글


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page