top of page

TUMEKUJA KUSHINDANA SIO

TUMEKUJA KUSHINDANA SIO

KUKAMILISHA RATIBA -GAMONDI

Kuelekea mchezo wa mwisho hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly vs Yanga SC Kocha Miguel Gamondi amesema




"Kucheza na Al Ahly sio jambo rahisi, tunafahamu ukubwa wa klabu hii na tupo tayari kupambana, ni wasaa wa kuonesha sanaa ya soka letu ni matarajio yangu kuona mchezo mgumu wa kimbinu naheshimu sana daraja la Ahly lakini niwahakikishie hatuna hofu yoyote tumekuja kushindana sio kukamilisha ratiba, malengo yetu ni kushinda mchezo huu" @miguelgamondi

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page