![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_7c4cb69b169947c1b04b76e6458b363c~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_7c4cb69b169947c1b04b76e6458b363c~mv2.jpeg)
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amefunguka haya juu taarifa zinaendelea kusambaa mitandaoni ya kwamba msanii anayemsimamia kwenye lebo yake ya Wasafi WCB Mbosso ameondoka kunako lebo hiyo.
"Tumekua na Mazungumzo Mazuri na mbosso_ Namna ya kuanza Rasmi sasa Kusimamia Kazi zake na Tumekamilisha jambo letu Vizuri sana, Tafadhali Story yoyote inayozungumzwa kuhusu jambo hili la @mbosso naomba zipuuzwe, Mpaka Mimi Binafsi na @mbosso_tutapotoa Tamko Rasmi"
-SIMBA
Yorumlar