top of page

TUMEPOKEA KWA MSHITUKO NA MASIKITIKO - SINGIDA BS

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Klabu ya Singida Black Stars imetolewa taarifa hii kwa umma.


"Tumepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa ya kocha wetu Hamdi Miloud kutambulishwa na Klabu ya Yanga bila kufuata utaratibu. Uongozi wa Klabu unalifuatilia jambo hili, tunawaomba mashabiki na wapenzi wa Singida Black Stars wawe watulivu wakati uongozi ukifanyia kazi jambo hili."

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page