top of page

TUNAOMBA RADHI KWA KUPOTEZA- PACOME


Mchezaji wa Yanga SC Pacome Zouzoua ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa



Instagram baada ya klabu yake anayochezea kupoteza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kwa Mabao mawili kwa moja mbele ya Azam FC

""Tunaomba radhi kwa mashabiki wetu kwa kupoteza mchezo wa jana, hii ndio ladha inayofanya mpira wa miguu kuvutia. Jana tumeshinda, leo tumepoteza, lakini tutarudi imara zaidi kupambania kombe" Pacome Zouzoua

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page