![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_427e458e207b4a509b164bd6eecca774~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_427e458e207b4a509b164bd6eecca774~mv2.jpg)
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi amechapisha picha hii akiwa na wasanii wenzake @palla_midundo @pmawenge @maalimnash ambapo caption ya post hiyo ilieleza kuwa
:Jana tulipata wasaa mzuri sana kumtembelea Mjomba Professor Jay nyumbani kwake na kubadilishana maarifa na soga mbalimbali, hakika ilikua siku nzuri sana, pia tutakuja na EP ambayo mauzo yake pesa yote itaenda katika mfuko wa Professor Jay Foundation. Hip Hop."
Comments