top of page

TUTAWAONESHA MKAJIFUNZE KUWA WASANII WA NCHI HII SIO WA KUCHEZEA CHEZEA - DIAMOND




Kutoka kwa Diamond Platnumz ana dukuduku hili ameliandikia kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story..

"NI MASIKITIKO KUONA KAMPUNI YA ZIKI INAZUIA WIMBO WA LAVALAVA #KIBANGO KUTOKA SIKU YA LEO NA KULAZIMISHA KUTOKA TAREHE WANAYOITAKA WAO, TENA MWEZI UJAO PASIPO SABABU ZA MSINGI TOKA KUWAKATALIA ZIKI KUNUNUA HISA ZA UMILIKI KWENYE KAMPUNI YA WASAFI LEBO NA KUAMUA KUANZISHA LEBO YAO BINAFSI, MBALI YA KUSAMBAZA KAZI ZA MUZIKI ZA WATU MBALIMBALI TU KAMA ILIVYOKUWA AWALI YANI (DISTRUBUTER), ZIKI WAMEKUA WAKIJARIBU MARA NYINGI KUTUVURUGIA UTOAJI WA NYIMBO ZA LEBO HII YA WASAFI, KUANZIA MIMI DIAMOND HADI LEBO NZIMA YA WASAFI, ZIKI IMEKUA PIA IKIJARIBU MBINU MBALIMBAKI ZA KUIUA LEBO NA WASANII WA WASAFI KISANAA, ILA KWASABABU YA MUNGU, UWEZO WA VIPAJI NA NGUVU YA MASHABIKI WAMESHINDWA KUFANIKIWA! ZIKI WAMEAHIDI PIA, KWAMBA ENDAPO SIKU YA LEO TUTAUPANDISHA WIMBO WA LAVALAVA #KIBANGO WATAUSHUSHA KILA PLATFORS NA KUHAKIKISHA WATU HAWAUPATI POPOTE KWA KAULI HIYO IMEFANYA TUONE KUWA MSHIRIKA WETU HUYU KIBIASHARA CHUKI YAKE ZIDI YETU IMEKUA KUBWA SANA NA INAYOHATARISHA BIASHARA YETU, HIVYO NI VYEMA SASA KWA MASHABIKI KUJUA YANAYOENDELA LAKINI PIA IMETURADHIMU KUANZA KULISHUGHURIKIA RASMI SASA JAMBO HILI KISHERIA NA SI KIRAFIKI KAMA ILIVYOKUWA MWANZO

WASAFI INAWAKUMBUSHA ZIKI KUWA WASAFI LEBO INA TAALUMA NA UZOEFU WA KUTOSHA KWENYE TASNIA HII, INAFAHAMU TARATIBU SAHIHI ZA UTOAJI WIMBO PAMOJA NA MARKETING.

WASAFI NDIO MNUFAIKA AMA MUHANGA MKUBWA ENDAPO KAMA KAZI ZAKE HAZITIENDA INAVYOPASWA, HIVYO INAPOAMUA KUCHIA WIMBO TAREH FULANI INAFAHAMU NINI INACHOFANYA, NA NDIOMAANA SIKU ZOTE IMEKUA IKITOA NYIMBO ZENYE MAΡΟΚΕΖΙ ΝΑ MAKUBWA LICHA VIPINGAMIZI VINGI ILIYOKUA IKIWEKEWA NA ZIKI KWENYE UTOAJI WA NYIMBO ZAKE!

ZIKI LEBO HII YA WASAFI HAIKUFIKA НАРА KWASABABU TU YA UWEZO WA WASANII BALI KWASABABU YA MUNGU, UPENDO NA SUPPORT KUBWA TUNAYOPEWA NA WATU

NA LEO TUTAWAONYESHA NGUVU HIO ILI MKAJIFUNZE KUWA WASANII WA NCHI HII SIO WA KUCHEZEA CHEZEA.

TUTAPANDISHA WIMBO KWENYE PLATFORMS ZOTE KISHA USHUSHENI HUO WIMBO HALAF SISI TUTAWAONESHA WATU WETU WANA NGUVU KIASI GANI NA WATAVYOUFANYA

WIMBO HUU KUWA MKUBWA PASIPO KUWA KWENYE PLATFORMS YOYOTE! TAZAMENI MITANDAO, VYOMBO VYA HABARI, CLUBS, NA HAFLA MBALIMBALI NA TUTAWAONYESHA NGUVU HALISI YA MASHABIKI ZETU

MSIJALI MASHABIKI ZETU #KIBANGO LAVALAVA x DIAMOND PLATNUMZ TUNAITOA LEO NA WAKIITOA KWA PLATFORMS TUTAWASAMBAZIA ΑΤΑ KWA WHATSAPP!! OMBI LANGU, SUPPORT KUBWA ILI WAJUE KUWA MASHABIKI WANATAKA NGOMA SIO PROPAGANDA!!! WAACHIE NGOMA ZITOKE!" DIAMOND PLATNUMZ



Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page