Kutoka nchini Marekani kwenye jukwaa la tuzo za BET Msanii
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_5ea8eaf491bb4edf8eb4d1659c4b472d~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_5ea8eaf491bb4edf8eb4d1659c4b472d~mv2.jpg)
Tyla ameibuka mshindi wa Tuzo hizo kipengele 'Best International Act' kwenye Tuzo za BET 2024 ambazo zinatolewa Muda Huu nchini Marekani.
Hii ni kubwa kuliko Tyla amewaangusha wakali kibao kama Ayra Starr, Asake, Aya Nakamura, Focalistic, BK', Raye, Cleo Sol na nyinginezo.
Comments