WANAOTOA HUDUMA KWA WAZEE KULETA FAMILIA ZAO NCHINI HUMO
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_bfa2aa0134454ad98b0f9f50eb9eb9a7~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_bfa2aa0134454ad98b0f9f50eb9eb9a7~mv2.jpg)
Fahamu kuwa Serikali ya Uingereza imetangaza sheria mpya zinazodhibiti wafanyakazi wanaotoa huduma kwa wazee kuleta familia zao nchini humo. Hii inamaanisha wafanyakazi hao kutoka Bara la Afrika hawatakubaliwa tena kuleta familia zao kuja kujiunga nao Uingereza. Sheria hizo zimeanza kufanya kazi mara moja. Mwaka uliopita, taifa hilo, liliongeza idadi ya visa zinazotolewa kwa wahamiaji wa kigeni wanaokuja kufanya kazi katika sekta ya afya na upande wa huduma za wazee.
Source: DW
Comments