Wakati Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24 ikitamatika leo na Simba SC ikishika nafasi ya tatu
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_a2a8184463f34600a0cada868b0f6d62~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_a2a8184463f34600a0cada868b0f6d62~mv2.jpg)
hivyo kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka maneno haya kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Tujipange kwa wakati ujao"
Comments