Kutoka kwenye ukurasa wa X zamani Twitter wa Muigizaji Idris Sultan amefunguka haya "Mwanamke akitangaza yupo na mimi, tunaachana
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dd18513fa9414de58f8f4dd5c869a203~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_dd18513fa9414de58f8f4dd5c869a203~mv2.jpg)
Sikwepeshi wala siyumbishi neno. Mimi matangazo nayajua vibaya mnooo sasa ukiona sitangazi my relationship basi ujue sio mahala pake. Kati ya 10 unayopata mtandaoni ukitangaza mahusiano yako basi 8 ni mabaya. Tuanze kujifunza kuwa na mahusiano ya wawili na sio ya walimwengu. Ndo kwanza wabichi mshaanza pr."
Unakubaliana na mtazamo wake?
Comments