top of page

UKIOA SINGLE MOTHER UTAKUWA UMEBAHATIKA MAANA HATATAMANI KUKUPOTEZA - AMBULANCE AMOS

Msanii wa Bongo Fleva Ambulance Amos Mbombo Boy kutoka Jajojo music mtetezi wa ma Single Mama atia neno kwa Hamisa Mobetto juu ya maisha yake mapya ya ndoa.


Single Mama ni wanawake bora sanaa pengine kuliko hata wengine ambao sio single Mama kwanza Single Mama hujutia pale walipo teleza na kujipanga kutengeneza hasa kama makosa yalikuwa upande wao Bas uhakikisha kwamba hawayatendi tena yale yaliyo sababisha wasikae na ndoa.


Lakini hawa ambao sio singe Mama huwa ni wajeuri sanaa na hujiamini kupita kiasi wakiamini bado ipo nafasi kwao ya kupata wenza wengine hivo si watu wazuri kwenye ndoa wakati furani Na huwa wanakuwa wametumika sanaaa kuliko tunavyowatazama. Kukosa mtoto sio sababu nakuona ni waaminifu si kweli Ukioa mwanamke mwenye mtoto utakuwa umebahatika maana hata tamani kukupoteza.


Ni dhana potofu kuamini Mama mwenye mtoto akikutana na mwenza lazima watapeana kwanza wengi huachana kwa maumivu hivyo huwa vigumu sanaaa kupasha viporo

Hamisa mobeto anaenda kuwa Mama bora wa familia ya Aziz Ki nawapongeza Single Mama wote kwa kuendelea kupambana na ni wakati wenu wa kutimiza ndoto zenu na kupata familia bora waume bora kuliko wale wa awali.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page