top of page

UMEUKUBALI USAJILI WA SALIM KIKEKE KWA ASILIMIA NGAPI NDAN YA CROWN MEDIA YAKE KING KIBA?

Kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) hadi Crown Media Mtangazaji Kinara Salim Kikeke safari yake imeanza upya sasa akiwa ndani ya Tanzania baada ya kutumikia BBC kwa zaidi ya miaka 15 ambapo kwa ukubwa wake amerejea nchini na msanii wa Bongo Fleva



Alikiba ameamua kutunisha misuli na kuiwahi sahihi yake.

Kwenye promo ya kumtambulisha kunaonesha namna Kikeke alivyopigiwa simu na media nyingine ambapo maneno kama Wachafu FM, Kisingeli FM na Ice-cream FM yametumika kuashiria media hizo ambazo pia zilikuwa zikihitaji huduma yake na bila shaka umezielewa ni zipi hizo lakini kazichinjilia mbali kaamua kuingia kwa Mfalme King Kiba pale Crown Media.

Je unaupa asilimia ngapi usajili huu?

コメント


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page