Haya sasa unataka pesa? Ni hivi Kampuni ya Apple imetoa ahadi ya kumpatia kiasi cha pesa $1 milioni sawa na Tsh Bilion 2.7 mtu yeyote atakaye weza kudukua mfumo wa seva yake PCC (private Cloud Compute) ambayo hushughulikia kazi za akili mnemba (Artificial Intelligence) zaidi ya processor za kawaida.
Mpango huo umelenga kuangazia usalama wa mifumo, taarifa na kuwahimiza watafiti mbalimbali wa usalama kutambua udhaifu kabla ya kutumiwa vibaya kwenye mbinu zizizofaa.
Commentaires