top of page
Radio on air

UNATAMANI KUONA WAKICHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO 24/25

Za chini chini tulizopokea mezeni kwetu ni kwamba huenda mwamba wa Lusaka Clatous



Chama akajiunga na Yanga SC wiki ijayo akitokea Simba SC kwani makubaliano na kila kitu vipo tayari.

Chama akijiunga na Yanga atakutana na mchezaji Aziz Ki sasa hebu tuambie unatamani ukiona msimu ujao wakicheza pamoja au ndio una D mbili hivyo ushaelewa kila kitu.


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page