Na Ramla Ramadhan
Miaka 101 imeadhimishwa nchini Uturuki kufuatia sherehe nchi nzima zinazoadhimisha siku hiyo ya kihistoria

Maadhimisho hayo yameanzia mjini Ankara, ambapo Rais Recep Tayyip Erdogan pamoja na viongozi wa serikali na jeshi wametoa heshima zao katika kaburi la mwanzilishi wa jamhuri Mustafa Kemal Ataturk. Aidha katika maadhimisho hayo Rais Erdogan amehimiza ukakamavu na ari ya Uturuki katika kuendeleza fikra zza maendeleo ya kisasa.
Comments