Ebwanaee ni kama Gnako hataki Utani kwani hatimaye kaamua kulivujisha Dude jipya la Weusi
Na hii ni baada ya muda wa zaidi ya mwaka kupita bila kupata wimbo mpya kutoka kundi la Weusi na wakati mwingi tumekuwa tukiwashuhudia wasanii wa kundi hilo wakitoa kazi za
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_447f7044b2e24fff89b4058d46e9edbd~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_447f7044b2e24fff89b4058d46e9edbd~mv2.jpg)
mmoja mmoja kitu kilichopelekea Gnako kudai atavujisha wimbo mpya endapo hawatakua tayari kutoa. Gnako amesema
“WEUSI NILIWAAMBIA DUNIA HAINA MUDA NA MIMI SINA MUDA NDO NALIACHIAAAA HIVYOOO WATAGINI WEUSI WAJE HAPA KINANUKAAA"
Weusi inaundwa na wakali wa Hip Hop @gnakowarawara
Lody Eyes, @johmakinitz na @nikkwapili ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kibaha.
Tazama sehemu ya Comments kuona kionjo cha ngoma hiyo.
Vipi mdau umemiss kazi za Weusi?
コメント