
Kutoka kwenye ukurasa wa Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Vijana mnaoandaa hiyo Barua ya Kumfukuza Kocha, Msisahau kuweka na sifa yake ya kuliwa nje ndani ni muhimu sana hiyo".
Unadhani Ally Kamwe ujumbe wake huu Mlengwa ni nani haswa?
Comments