top of page

VIJANA MUAMINI KILA KITU KINAWEZEKANA CHINI YA JUA" DIAMOND PLATNUMZ

Pokea ujumbe huu kutoka kwa staa wa Bongofleva Diamond Platnumz aliouchapisha kupitia ukurasa wake wa Instagram ukufikie popote pale ulipo duniani

"Vijana Wenzangu, Sina kikubwa cha kuwapa ila kuwasihi kutumia Changamoto na Kheri za



Maisha yangu kama moja ya Motisha ya Maisha yenu kwenye mbio za kujikomboa Kimaendeleo.... Muamini ya kwamba kila kitu kinawezekana Chini ya jua... ila tu Inataka Utayari, Juhudi, Uvumilivu, Ubunifu, Adabu, kutokukata tamaa na Siku zote Kuepuka Kuwa Chanzo cha Tatizo kwa kitu ama Mtu yoyote ili uwe na Haki na Ulinzi wa Mungu Duniani na Akhera... Vijana wenzangu, Huyo Kijana Unaemuona Hapo ni Jasiri na Mkomavu Kwelikweli na ndio moja ya Nguzo za Kuwepo hapo hadi leo, Kama yeye anaweza basi naamini sisi Wote tunaweza!...InshaAllah Mwenyez Mungu atujaalie ijumaa ya leo ikawe yenye Kheri na kutufanikisha Ndoto zetu wote"

Comentários


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page