Na Ester Madeghe,
Mshambuliaji huyo wa Brazil amefunga hat-trick katika ushindi wa Real Madrid wa 5-2 dhidi ya Borussia Dortmund katika Ligi ya Mabingwa.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_8bdbb2ce5f094fcd91e4a91f077b6f20~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_8bdbb2ce5f094fcd91e4a91f077b6f20~mv2.jpeg)
Meneja wa Real Madrid Carlo Ancelotti amemsifu Vinicius Junior baada ya mshambuliaji huyo wa Brazil kufunga hat-trick ya kipindi cha pili na kuwasaidia kupambana kutoka mabao mawili na kuwalaza wageni Borussia Dortmund 5-2 katika Ligi ya Mabingwa. Ancelotti ameuambia mkutano na waandishi wa habari kwamba anaamini kwamba Vinicius mwenye umri wa miaka 24 atashinda tuzo ya Ballon d'Or kama mchezaji bora duniani.
Comments