top of page
Radio on air

VITU TUNAVYODAIWA HIVI SASA YANGA SC

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe amefunguka



vitu vitatu ambavyo wanadaiwa kama Yanga SC ambapo andiko lake limesema

"Vitu @yangasc Tunavyodaiwa Hivi sasa ni

1: Kumtambulisha Yule Bwana kwenye WIKI YA WANANCHI

2: UBINGWA WA AFRIKA

3: KUMFUNGA KOLO GOLI 10"

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page