top of page
Radio on air

WAANDAMANAJI WAVAMIABUNGENI WALA UBWABWA NA BIRIANI LA WABUNGE

Kutoka nchini Kenya hali imeendelea Waandamanaji huko nchini humo wamevamia ndani ya



hoteli ya Wabunge na kula chakula cha Wabunge.

Aidha taarifa pia zinaeleza sehemu ya Bunge la Kenya inateketea moto ambapo wabunge wamekimbilia nje kwa ajili ya usalama wao na kulazimu kikao cha Bunge kusitishwa.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page