top of page

WAASI WA M23 WASHAMBULIA

WAASI WA M23 WASHAMBULIA

ENEO LA MAYUTSA NCHINI CONGO



Kutoka Goma nchini Congo DR Usiku wa kuamkia leo Ijumaa, waasi wa M23 walishambulia eneo la Mayutsa, moja ya maeneo ya Sake, wakijaribu kuchukua udhibiti wa kilima muhimu cha mji huo wakati Rais Felix Tshisekedi alipokuwa akizungumzia hali ya usalama mashariki mwa nchi. Vikosi vya FARDC, Wazalendo, na vikosi vingine vinavyounga mkono walijibu haraka na kuzuia jaribio hilo.

Kommentare


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page