top of page

WAKATI TANZANIA INAPAMBANA KUONGEZA WATALII MATAIFA MENGINE WATALII NI KERO

. Na VENANCE JOHN

Unaweza kusema "Nina njaa, na sio tunanjaa" hata kama mko kundi la watu wengi. Hii ni kwa



sababu wakati Tanzania ikiwa inapambana kwa nguvu kupata watalii wengi, nchi nyingine wanapambana kupunguza watalii.

Nchini Uhispania, katika jiji la Barcelona, wakazi wa jiji hilo wanapambana kupunguza idadi ya watalii kwa kuwanyuzia maji yanakuwa kwenye chupa hasa wakati wa mlo wa jioni.

Hii ni kwa sababu watalii wanapokwenda jiji hilo wanasababisha wenyeji kukosa nyumba za kwa ajili ya makazi, hivyo kuona kama watalii ni chanzo cha kero kwa wenyeji.

Meya wa jiji la Barcelona hivi karibuni ameshaahidi kuweka mkakati wa kuruhusu watalii wa kukaa muda mrefu pekee na kuwazuia wanaokaa muda mfupi ili kupata nyumba kwa ajili ya wenyeji.

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page