Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi Wasafi FM @divatheebawse amefunguka haya ,"Uyo Wakazi wenu aonyeshe Bank statement Yake Ya Miez hii Mitatu Namimi nionyeshe afu tuone nani ana hela afu aonyeshe Mali anazomiliki namimi nionyeshe zenye Jina Langu afu aone nani anahela afu aonyeshe saa hii ana sh ngap bank na ana miliki biashara ipi na ipi na mi nionyeshe tuone nani ni 10 times better kacheze unapochezaga for trends bro!. haya ni maji marefu and yes nalinda ugali wangu kwa Mapenzi toka moyon sababu i witness the Rise Up Of black excellence anaetufanya tuwe Proud Tanzania na tutembee kifua @SamMisago mbele! You such a loser who turns out to be bitter usie na Mbele wala Nyuma so far tafuta hela bro afu Acha kukaa mitandaon kuongelea mwanaume mwenzio anaeweza kukuajiri ufute viatu vyake.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_1b18000a6b0d41d3a68a778da3913f73~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_1b18000a6b0d41d3a68a778da3913f73~mv2.jpg)
There's levels to this shit. If you can't fight him Join him last but not least mimi tu naeza kukuajiri kwenye moja ya biashara zangu as a woman na nikakulipia hadi luku maana inavyokuishiaga unahaha ka bata mzinga". Andiko hili la Diva linakuja ikiwa ni siku chache baada ya Wakazi kufunguka haya juu ya Diamond "Diamond bana...Sasa Ruangwa na "RoziRozi" wapi na wapi...?! smh
Anavyolitamka tu ni kielelezo tosha kuwa amelinunua for "conversational purposes", too bad he is talking to the wrong crowd about it. Kwa artist ambae has become such an inspiration & beamer of hope to kids".
コメント