top of page

WALIPE KWANZA KISASI CHA MABAO 5

WALIPE KWANZA KISASI CHA MABAO 5



WALIYOFUNGWA HAPA" KOCHA JWANENG GALAXY

Kocha Mkuu Jwaneng Galaxy Morena Ramoreboli amesema

"Nawashangaa Simba SC wametangaza kufanya kisasi na sisi Jwaneng kwanini wasifanye kisasi cha kufungwa mabao 5 Kwanza waliyofungwa hapa, Sisi hatufahamu mambo ya kisasi na badala yake tumekuja kutafuta matokeo."

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page