Wakati ngoma ya Comasava yake staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ikiendelea kufanya vyema katika mataifa mbalimbali mkali huyo ameibuka kupitia ukurasa wake wa Instagram

upande wa Insta Story na kufunguka haya
"I LOVE YOU MORE TANZANIA WALITUONEA SANA HAWA, NIKAWA NAWASOMA TU... ASAIVI WAMEINGIA KWENYE MFUMO, TUMEWASHIKA PABAYA...ΝΑ NITAHAKIKISHA TUNAWAPELEKEA MOTO MPAKA WAKIIONA HII BENDERA POPOTE WAWE NA HESHIMA!"
Comments