top of page

WANAJESHI 10 WA ISRAEL WAMEUAWA KATIKA SHAMBULIO LA MOTO NA RISASI LA HEZBOLLAH

Na Ester Madeghe,


Shambulio lingine limetokea hivi punde, ambapo wanajeshi watano wa Israel kusini mwa Lebanon wamepigwa risasi na wengine watano kushambuliwa kwa moto hadi kufa na kundi la Hezbollah.


Shambulizi hilo limesababisha vifo vya wanajeshi 10 na wengine 24 kujeruhiwa, wakiwemo wanajeshi wengine wanne wakiwa katika hali mbaya Hii inakuja ikiwa ni chini ya saa 24 tu baada ya jeshi la Israel kuthibitisha kuwa wanajeshi wake wengine 5 wameuliwa katika shambulizi la Hezbollah.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page