top of page

WANANCHI MNAULIZWA ETI MNATAKA PAREDI LA TOP SCORER? KAZI KWENU SEMENI

Wakati Aziz Ki akimaliza msimu wa Ligi Kuu ya NBC kama Mfungaji bora akiwa amefunga



mabao 21 hatimaye ukurasa wa Instagram wa klabu ya Yanga SC wamepost picha hii ya Aziz Ki akiwa na mpira wa Hat Trick akifunga mabao matatu mchezo wa mwisho dhidi ya NBC Yanga ikishinda 4 - 1 ambapo caption yao imesema

"Kupiga PARADE la TOP SCORER @aziz.ki.10 The Master KI ni jambo dogo sana kwa WANANCHI"



Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page