top of page

WANANCHI MSIDANGANYW KUONA MCHEZO WA DERBY N JUMAMOSI NI RAHISI - SIMON




Kutoka kwa Mwanasheria wa Yanga SC Simon Patrick amefunguka haya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Yanga SC na Simba SC Jumamosi hii Aprili 20 kwa Mkapa

"Ndugu zangu Wananchi, msikubali kudanganywa na kuuona mchezo wa derby wa jumamosi kama rahisi.

Naomba tuwe wakweli, watani zetu wana kikosi kizuri kuliko timu yoyote kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, na ndio timu tajiri namba 3 Afrika huku wana wachezaji waliozoea kuwakaba wakina Ronaldo.

Naomba tujitokeze kwa wingi tuisapoti timu yetu kwenye mchezo huu mgumu!

Wazee wetu wa Yanga, tumewakabidhi roho zetu, kila la kheri Jumamosi.

NB: Umuhimu wa mtu huonekana pale ukishampoteza, endeleeni kumchukulia poa Mzee wetu Mangungu."




コメント


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page