top of page

WANAWAKE PUNGUZENI KUMSIFIAMUME WANGU HUKO DM - RAYA


Haya sasa Mke wa mwanamuziki wa Bongo Fleva Barnaba mwanadada @rayatheboss hajapenda maneno na sifa za warembo kwenye DM ya mume wake, ni kuhusu muonekano wake mpya baada ya kwenda Gym ambapo ameandika ujumbe huu kupitia Insta Story yake ya ukurasa wa Instagram


"Wanawake punguzeni kumsifia mume wangu huko dm kwani yeye ndo msanii wa kwanza kwenda gym sitaki jamani?"

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page