
Ilikuwa kama utani taarifa zilipoanza kusambaa mtandaoni ya kuwa mtoto wa mtayarishaji wa muziki P.Funk pamoja na muigizaji wa Bongo Movie Kajala Masanja aitwae Paula ni mjamzito hatimaye majibu yamepatikana ni kweli kabeba ujauzito wa Marioo.
Sasa wawili hao wameachia picha za ujauzito na kuacha swali je unahisi mtoto wao atakuwa ni wa Kiume au wa kike?
コメント