![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_cc7854147b78431f8e5a058a3a077449~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_cc7854147b78431f8e5a058a3a077449~mv2.jpg)
Ni wasanii mbalimbali wakiwemo waimbaji na waigizaji kama Idris Sultan, Wema Sepetu, Billnass, Monalisa, Godliver Gordian, Chuchu Hansy, Irene Paul n.k leo wamejitokeza katika stesheni ya SGR ya Tanzanite hapa Dar es salaam katika uzinduzi wa safari za treni ya SGR kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma na kutoka Dodoma kuja Dar es salaam
Comments