top of page

WATANZANIA MNIOMBEE KESHO NAPIGANA MAANA KUNA MAISHA BAADA YA NGUMI - MANDONGA




Kutoka kwenye ukurasa wa Karim Mandonga amefunguka haya kuelekea pambano lake na Mada Maugo hapo kesho

"Habari ya mda huu I hope mko good watu kazi Kilicho baki kwa watanzania wenzangu n maombi tu juu ya fight yangu ya kesho ninayo tarajia kucheza kesho naombeni maombi yenu hizi ngumi jamani kuna maisha baada ya ngumi" amefunguka Mandonga.


Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page