top of page

WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A

WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A

Jeshi la Polisi Afrika Kusini limekamata watuhumiwa sita wa mauaji ya rapper Kiernan "AKA" Forbes, aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa huko Durban, Februari 10, 2023.

Watuhumiwa wawili walikuwa na bunduki, wawili walipanga njama ya mauaji, na wengine


wameshikwa nchini jirani ya Eswatini. Polisi, pamoja na Interpol na Eswatini, wanafanya kazi kuwarejesha watuhumiwa Afrika Kusini.

Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi anasema uchunguzi umebaini kuwa AKA ndiye alikuwa mlengwa mkuu, alifuatiliwa kutoka uwanja wa ndege hadi hotelini, kisha Mgahawa na mpango ulikuwa kumpiga risasi ndani ya gari.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page