top of page

WATU WANALIPWA KUCHAFUANA NA KUWASIFU - BARBARA GONZALEZ

Kutoka kwenye ukurasa wa X wa aliyewahi kuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez amefunguka haya




"Wapambe na machawa wanaendesha siasa za Tanzania (mitandaoni), it's distasteful. Watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu. Utadhani kura zinapigwa online kwa hizi campaign. Nothing is subtle anymore.

Disorganized, uncoordinated blabber disguised as organic content.

Kweli watu wanalipwa kupost picha za mtu kazini? Watu wazima kabisa wanakaa maofiisini kuaanda captions za wapambe kupost? Hizi ndo ajira za mitandao?

When did this become a strategy for statesmanship? The blind pursuit of cheap popularity!"

Unadhani ana maana gani?

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page