![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_943e328c67d34f638409032f0261b425~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_943e328c67d34f638409032f0261b425~mv2.jpeg)
Shule ya sekondari ya Mugwandi nchini Kenya katika Kaunti ya Kirinyaga, imejikuta ikiwa na mwanafunzi mmoja wa kidato cha pili na walimu wanane hiyo ni baada ya shule hiyo kukosa Mwalimu Mkuu kwa muda mrefu, hatua iliyochangia wazazi kuwahamisha watoto wao. Katika picha zilizosambaa mitandaoni zimemuonyesha kijana huyo akiwa kwenye dawati lake darasani akiendelea kujisomea.
Comentários