Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadili jambo na
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_e6000fb7a6524450bba933e856218418~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_e6000fb7a6524450bba933e856218418~mv2.jpg)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safı ya Kupikia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, leo Mei 08, 2024.
Comments