top of page

"WEWE NI MWANAMKE MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YANGU" RAY THE GREATEST

Kutoka kwenye ukurasa wa Muigizaji mkongwe wa Bongo Movie Vincent Kigosi maarufu kama Ray The Greatest ameandika ujumbe huu wa kumtakia kheri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa mama watoto wake Muigizaji Chuchu Hansy


"Happy Birthday My Lovely Mzungu..


Leo Ni Siku Yako Muhimu Ni Siku Ambayo Ni Mfanano Wa Siku Yako Ya Kuzaliwa.


Nikiandika Mengi Naweza Kukufuru Ila Kikubwa Nataka Nikukumbushe Tu Kuwa Wewe Ni Mwanamke Muhimu Sana Kwenye Maisha Yangu, Nikuombee Kwa Mungu Maisha Marefu Yenye Baraka Tele.. Hakika Wewe Ni Mwanamke Shujaa Mwenye Hekima Na Maarifa Mengi Uliyobarikiwa Na Mungu..


Enjoy Your Day Ila Bac Mama Jaden Usisahau Lile Jambo Letu, Sitaki Kulisema Humu Maana Wambea Wengi Utaanza Kuwasikia.. Muoe Kwanza Utafikiri Wao Wameolewa Kazi Umbea Tu Enjoy Your Day My Lovely Mzungu Leo Ni Siku Yako Muhimu Nakupenda Sana. @chuchuhansy


MWAMBA KABISA KIBOKO YA WASHAKUNAKU FURAHIA SIKU YAKO YA KUZALIWA TAMBA HAKUNA WA KUKUTINGISHA SONGA MBELE NA UKITAKA KUWAKOMESHA ONGEZA FAMILIA"

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page