Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale ya Jackline Wolper na mumewe Rich Mitindo kiasi cha kuanza kudaiana talaka hatimaye wawili hawa wameyamaliza ambapo Rich amechapisha hizi na kuandika ujumbe huu
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_41ae1232d1264a6c896593fc764b3207~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_41ae1232d1264a6c896593fc764b3207~mv2.jpeg)
"My wife Najua nina dosari zangu. Nafanya makosa na wakati mwingine kuvuka mipaka, Naweza kukiri kwamba kuumizana na kubishana kunakatisha tamaa na kunaathiri mahusiano yetu, binafsi sikukatii tamaa ikiwa Nia zetu zinalingana kwanini tuendelee kupingana na kufanya tuone mapenzi mabaya, naomba tuache yaliyopita nyuma na tuyaangalie mema ya mbele yaliyojaa upendo mwingi sana kwangu kuja kwako, NAKUPENDA zaidi neno lenyewe, nakukumbusha Mke wangu muda mwingine najaribu kuwa bora kwako, lakini binadamu sijakamilika nisamehe napoteleza, napokosea unahisi kama sikupendi lakini niamini, Nakupenda zaidi unavyojua I love You Mke wangu".
Комментарии