top of page
Radio on air

YAMETIMIA MUTALE RASMI NI MNYAMA SASA MOTO WOTE KUUWASHA SIMBA SC

Hatimaye Kiungo mshambuliaji, Joshua Mutale raia wa Zambia amejiunga na kikosi cha Simba



baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia klabu akitokea Power Dynamos ya Zambia.

Nyota huyu atakumbukwa msimu uliopita kwenye kampeni ya Ligi ya Mabingwa Afrika alikuwa tishio dhidi ya Simba SC ambayo ilikuwa ikicheza na Power Dynamo wakati wakusaka hatua ya Makundi.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page