top of page

YANGA SC WATIMKA AZAM COMPLEX WAAMUA KUHAMIA KMC COMPLEX


Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Yanga SC wametoa taarifa hii kwa umma. "Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuwajulisha Wanachama, Mashabiki pamoja na Umma kwa ujumla kuwa, tutautumia Uwanja wa KMC Complex kama Uwanja wetu wa Nyumbani kwa mechi zote za Ligi Kuu ya NBC zilizosalia msimu huu wa 2024/25.


Hivyo hivyo, Young Africans Sports Club itautumia uwanja wa KMC Complex kama uwanja wake wa nyumbani kwenye mechi za Kombe la Shirikisho la CRDB na michezo mingine ya nyumbani ambayo kanuni itaruhusu kuutumia uwanja huo."

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page