Kama hujui wacha tukujuze ni hivi Alhamisi ya jana Mei 16 limezinduliwa Sanamu la mchezaji

Kylian Mbappé katika Jumba la Makumbusho ya Madame Tussauds, na kuzua gumzo kutokana na kufanana kila kitu na Mbappe.
Shughuli hii kubwa ya uzinduzi ilihudhuriwa na baba yake Wilfrid na marafiki zake wa karibu, ilionesha pozi lake maarufu la kushangilia.Sasa kwa haraka haraka unadhani sanamu ni ipi hapo kati ya A au B?
Comments