top of page

ZAIDI YA WATU 90 WAHOFIWA KUFA MAJI BAADA YA KIVUKO CHENYE WATU 130 KUZAMA.




Kutoka nchini Msumbiji taarifa zilizotufikia asubuhi hii zinaeleza kuwa zaidi ya Watu 90 wameripotiwa kufariki katika ajali ya Kivuko kinachodaiwa kilikuwa na takriban Watu 130 katika eneo la jirani na jimbo la Nampula, huku Watu 5 wakiokolewa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa eneo hilo, imeelezwa kuwa miongoni mwa waliopoteza maisha ni Watoto na chanzo cha ajali ni uzito kuzidi kwenye Kivuko.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page