top of page

ZAIYLISSA AWEKA WAZI KUWA MJAMZITO

Wakati mumewe Haji Manara akifunguka kupitia Clouds FM kuwa mkewe ZaiyLissa ana wivu sana kiasi cha kupenda kupekua pekua simu yake hii imefanya Bibie huyo aibuke kupitia ukurasa wake wa Instagram nakuandika


"Jamani Nisaidieni Kumtag baba k wangu Aje kuna Ujumbe wake huku slide 4 & 5 Alafu mwambieni Nampenda sana Na wivu siachi Ng'oooh @hajismanara" amefunguka Zaiylissa. Bila shaka hiyo Baba K ni wazi huenda bibie huyu ni mjamzito hivyo wanatarajia kupata mtoto.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page