top of page
Radio on air

ZAMA ZA INONGA SIMBA SC ZIMEKWISHA RASMI AWAAGA ETI MTAMKUMBUKA KWA LIPI?

Hatimaye mchezaji Inonga Baka Varane raia wa Congo DR amewaaga mashabiki wa klabu ya



Simba SC kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo beki huyu wa kati ambaye ni machachari ameandika ujumbe huu

“Asante sana kwa familia nzima, nimekuja kusema asante kwa yote uliyonitendea, nafikiri leo nilitaka kuaga, asante familia, unabaki moyoni mwangu daima." Ameandika Inonga.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page