top of page

ZARI ADAI WANAUME WOTE NI KAMA BWANA BALTASAR SEMA WAO HAWAJIREKODI TU

Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz mwanamama Zari The Boss Lady anasema wanaume wote wanafanya tabia ambazo zimewekwa wazi kumuhusu 'Baltasar Engonga' raia wa Equitorial Guinea ambaye inasemekana amelala na kurekodi nao video wanawake 400 wakiwemo wake wa viongozi wakubwa nchini kwao.


Zari anasema tofauti ya Engonga na wanaume wengine ni kwamba wao huwa hawajirekodi video wakifanya mambo yao wala hawajawahi kukamatwa lakini wanaume wote wako sawa Sokwe hawa.


"The only difference between your man & mine and the equatorial guinea guy is that ours have not been caught and doesn't record themselves. But these shreks/chimpanzees are all the same" Zari

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page